Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Mtakatifu Augustin SAUT, Padri, Dkt.Thadeus Mkamwa (kushoto),
akitoa taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho yatakayofanyika
kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na Jumamosi Disemba 17 mwaka huu
chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza.
Kulia ni Bernald James ambaye ni Mkuu wa Mawasiliano, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza Mhashamu Yuda Thadeus Rwaichi.
Wahitimu 2421
wa fani mbalimbali wanatarajiwa kutunukiwa vyeti, shahada, shahada za
uzamili na uzamivu katika mahafali hayo huku wanafunzi wanafunzi 746 wakishindwa kutunukiwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutolipia ada.
Mahafali hayo yatatanguliwa na Siku ya Jamii itakayofanyika Jumatano Disemba 14 ambapo kutakuwa na Maonesho ya Kitaaluma.
BMGHabari
Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Mtakatifu Augustin SAUT, Padri, Dkt.Thadeus Mkamwa (kushoto),
akitoa taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho yatakayofanyika
kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na Jumamosi Disemba 17 mwaka huu
chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza.
Bernald James ambaye ni Mkuu wa Mawasiliano, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.
Wanabaraza la Seneti
chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo
hicho yatakayofanyika kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na Jumamosi
Disemba 17 mwaka huu chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza.
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanahabari na wajumbe wa baraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wahitimu 2421 wa fani mbalimbali
wanatarajiwa kutunukiwa vyeti, shahada, shahada za uzamili na uzamivu
katika mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine SAUT cha
Jijini Mwanza.
Makamu Mkuu wa chuo hicho Dkt.Thadeus
Mkamwa amesema wahitimu hao wakiwemo watatu wa shahada za uzamivu
watatunukiwa shahada zao kwenye Mahafali yatakayofanyika ijumaa na
jumamosi wiki hii chuoni hapo.
Amesema mahafali hayo ambayo mgeni
rasmi atakuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza Mhashamu Yuda
Thadeus Rwaichi yatatanguliwa na Siku ya Maonesho Kitaaluma
yatakayohusisha wanafunzi na wahadhiri kutoka kila kitivo na idara.
Hata hivyo Dkt.Mkamwa amesema
wanafunzi 746 wameshindwa kuhitimu masomo yao kutokana na sababu
mbalimbali ikiwemo kushindwa kulipa ada.
0 comments:
Post a Comment