Header Ads


YANGA YAIFUNGA NDANDA FC BAO 4-0

Timu ya Yanga imejipatia point tatu muhim katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa leo na kuifunga Ndanda  ya Mtwara kwa mabao 4-0 magoli yamefungwa na Donald Ngoma magoli 2 na Hamis Tambwe bao 2 busuu bao 2 mpaka mwisho magoli manne kwa bila  
kikosi  deogratius Munishi Juma Abdul Mwinyi haji  Vicent Bossou Kelvin Yondani  Said juma Saimon Msuva Haruna Nionzima Donald Ngoma.Amis Tambwe Emmanuel Martin . akiba AlIMustafa  Andrew Vicent  Justin Zullu  Thabit Kamusoko Obrey Chirwa Geofry Mwashuiya Deus KASEKE

No comments