Header Ads


ANGLE RWEKAZAURA WA ARUSHA AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MAXIMILLIAN

. MAANDALIZI YA NDOA: Bi,Angle Rwezaura   wa Arusha akivishwa pente ya uchumba na Maximililan Muya  pia wa Arusha wakati wa hafla iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, wachumba hao wanategemea kufunga ndo yao Takatifu  hivi karibuni  mkoani Arusha.

No comments