Bondia Mbwana Matumla kushoto akielekezwa kupiga ngumi na Said Abdulghafoor wakatio wa mazoezi ya Matumla ya kutambulisha mpambano wake na Seleiman Shabani utakaofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia
Mesharck Mwankemwa wa Mbeya na Mbwana Matumla wakioneshana umwamba wa
kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mapambano yao
yatakayofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa
Mwankemwa atapanda ulingoni na Ramadhani Shaurina Matumla atamkabili Seleiman Shabani Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia
Mesharck Mwankemwa wa Mbeya na Mbwana Matumla wakioneshana umwamba wa
kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mapambano yao
yatakayofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa
Mwankemwa atapanda ulingoni na Ramadhani Shaurina Matumla atamkabili Seleiman Shabani Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia
Mbwana Matumla kushoto akipambana na Meshack Mwankemwa wakati wa
mazoezi yao ya mwisho mwisho kabla ya mpambano wao na wapinzani wao Feb 5
katika uwanja wa ndani wa Taifa Matumla atapambana na Seleiman Shabani
na Mwankemwa atakabiliana na Ramadhani ShauriPicha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha
wa Mchezo wa Masumbwi nchini Shomali Kimbau akimwelekeza bondia Meshack
Mwankemwa wakati wa mazoezi yake kwa ajili ya kujiandaa na Ramadhani ShauriFeb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Wadau
wa mchezo wa masumbwi nchini wakimfuraia Bondia Mbwana Matumla wa tatu
kushoto akipeana mkono na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi
nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wengine kutoka kushoto ni William Kaijage Said Abdulghafoor Juma Mbili pamoja na Chaurembo Palasa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
BONDIA
wa ngumi za kulipwa nchini Mbwana Matumla anataraji kupanda ulingoni
tena baada ya kukaa mnje ya ulingo tangia mpambano wake wa mwisho
aliocheza katikas ukumbi wa Dar Live Desemba 25 mwaka 2012 alivyo
msambalatisha bondia David Chalanga Nairobi, Kenya
anarudi
tena ulingoni Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa kupambana
na Suleimani Shabani mpambano wa raundi nane uzito wa Super Feather
Weight
Mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka likiwemo la bondia Meshack Mwankemwa atakaepambana na
Ramadhani Shauri
wakati Mohamed Matumla atavaana na Mfaume Mfaume
na
Twalibu Tuwa wa Kiwangwa Bagamoyo atavaana na Saidi Chino mpambano wa
ubingwa wa Taifa raundi kumi na Husein Pendeza wa Ashanti Boxing clab ya
Ilala atakaevaana na Said Hamdani kutoka Mbezi Conetion
Mkwela
atazipiga na Manyi Issa mpambano wa raundi kumi kumasliza ubishi wa
nani zaidi ya mabondia hao ambapo Mkwela anafundishwa na kocha wa
kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na Issa
anaefundishwa na Amos Martin Nkondo kutoka Mbezi Conetion
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo
na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Ndani
yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani,
Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na
matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa
dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
|
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
www.burudan.blogspot.com Mob;+255787 406938
+255713 406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania
0 comments:
Post a Comment