Tuesday, January 3, 2017

Rais Dkt MAGUFULI awasalimia Wakazi wa Bukoba Mjini, Muleba na Muganza, GEITA.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muleba mkoani Kagera mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani humo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muganza Wilayani Chato mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani KageraPICHA NA IKULU 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu