2


SI LA KULIKOSA

Monday, January 30, 2017

TAARIFA YA TANZIA KWA WANANDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA FAMILIA YA BINAGI

 
MWANZILISHI WA MTANDAO HUU (BINAGI MEDIA GROUP), NDUGU GEORGE BINAGI, ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI, LEAH DANIEL BINAGI (PICHANI) KILICHOTOKEA USIKU WA JUMAPILI TAREHE 29.01.2017 HUKO TARIME. 
TUTAENDELEA KUWAJULISHA KUHUSU TARATIBU ZA MAZISHI. TUMFARIJI KUPITIA MAWASILIANO YAKE 075743269
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu