TACAIDS YAJIPANGA KUHAKIKISHA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2030
Mkurugenzi
wa Uraghabishi na Habari – TACAIDS Jumanne Issango akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu masuala ya ukimwi kwa vijana leo jijini Dar
es Salaam.Kutoka kushoto ni Mratibu wa Shughuli za Vijana TACAIDS Bibi.
Grace Kessy, Mratibu Mwandamizi wa Shirika la Restless Development Bw.
Oscar Kimaro na Mratibu wa Shughuli za Rufaa kwa Watoto na Walezi
waishio katika mazingira magumu Dar es Salaam, Dkt. Fredy Frank.
Mratibu
Mwandamizi wa Shirika la Restless Development Bw. Oscar Kimaro
akifafanua jambo wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari kuhusu
masuala ya ukimwi kwa vijana leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni
Mkurugenzi wa Uraghabishi na Habari – TACAIDS Jumanne Issango na Mratibu
wa Shughuli za Rufaa kwa Watoto na Walezi waishio katika mazingira
magumu Dar es Salaam kutoka Shirika la PACT, Dkt. Fredy Frank
(katikatika).
Mratibu
wa Shughuli za Rufaa kwa Watoto na Walezi waishio katika mazingira
magumu Dar es Salaam, Dkt. Fredy Frank akifafanua jambo wakati wa
mkutano wao na waandishi wa habari kuhusu masuala ya ukimwi kwa vijana
leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano baina yao na wawakirishi
kutoka Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Restless Development
na Shirika la PACT uliofanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi
wa Idara ya Habari (MAELEZO).
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment