Sunday, February 5, 2017

Miaka 40 ya CCM: Viongozi Mbalimbali Wahudhuria Kilele Chake Mjini Dodoma

 Katibu Mkuu wa CCM, Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula, akihutubia katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma. Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

 Viongozi wakiwa meza kuu baada ya kuwasili ukumbini kuendelea na sherehe hizo.

 Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole akihamasisha katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.

 Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole akihamasisha katika sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.

 Wanachama wa CCM wakiwa wamefurika ukumbini wakati wa sherehe hizo.

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishauriana jambo na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wakati wa sherehe hizo leo katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.

 Baadhi ya viongozi kwenye sherehe hizo.

 Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimia wanachama wa CCM wakati wa sherehe hizo leo katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma. 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu