Thursday, March 23, 2017



Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akipena mikono na  Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo leo Jumatano Machi 22, 2017 


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa ujumbe aliofuatana nao Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Machi 22, 2017 


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na  Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Machi 22, 2017 


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Machi 22, 2017 


Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong alipokuwa akisalimia viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Machi 22, 2017 


Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong  akisalimiana na  viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Machi 22, 2017 


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong wakishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira na Balozi wa China Nchini Tanzania Dkt.Lu Youqing wakitia saini mkataba moja ya mikata mitatu


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong wakishuhudia   Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Aziz Mlima na Balozi wa China Nchini Tanzania Dkt.Lu Youqing wakibadilishana hati baada ya kusaini mkataba




Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong wakishuhudia na Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya  Fred Kibuta na Balozi wa China Nchini Tanzania Dkt.Lu Youqing wakitia saini Mkataba moja kati ya mikataba mitatu

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu