Thursday, November 16, 2017

BREKING NEWZZZZZZZZZ WATU 17 WAMENUSURIKA KUFA BAADA YA BOTI KUZAMA LEO

Habari zilizotufikia hivi punde  watu kumi na saba 17 wamenusurika kufa na wengine kujeruhiwa  baada ya boti inayojulikana kwa jina la MV JULIUS  kuzama katika kisiwa  cha gozba  Muleba mkoani Kagera  kwa mujibu wa mkuu  wa mkuu wa polisi Mwanza Agustino amethibitisha ajali hiyo na kusema ametuma vijana wake kwenda kuasaidia hali hiyo kamanda huyo amesema boti hiyo ya MV JULIUS ilibeba magunia ya Dagaa 250  na wafanyakazi 12 pamoja na Abiria 5 jula ni watu 17  kamanda huyo amesema boti hiyo ilizama si mbali na eneo la gati hatua chache ilikuwa inaelemewa upande mmoja  na watu na boti nyingine kufika katika tukio kamanda agustino kwa mujibu wa breking news ya Radio One blog ya mzuka itawajuza  baada ya saa moja
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu