Tuesday, December 12, 2017

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Naibu Katibu Mkuu CCM bara Mhe. Philip Mangula na viongozi wengine wakipata maelezo ya ujenzi wa jengo la kitegauchumi la Jumuiya ya Wazazi linalojengwa Ilala Mchikichini jijini Dar es salaam na kampuni ya Elite Consultants kabla ya ufunguzi wa mkutano wa Tisa wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam leo Desemba 12, 2017.

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu