Wednesday, January 17, 2018

KAMATI ZA BUNGE DODOMA

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo ambapo leo walikuwa wakijadili ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirikisho la wenye Viwanda Nchini (CTI).Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.



Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mheshimiwa Sadiq Murad akikisitiza jambo katika kikao cha Kamati hiyo ambapo leo walikuwa wakijadili ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirikisho la wenye Viwanda Nchini (CTI).Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi  akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)wakati Kamati ilipokutana na Taasisi hiyo  kwa ajili ya kujadili na kuchambua Taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji na utendaji wa Taasisi hiyo.kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya JKCI, Profesa William Mahalu. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu