Saturday, February 24, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ULIOMALIZIKA LEO JIJINI KAMPALA NCHINI UGANDA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Rais wa Uganda
Yoweri Museveni pamoja na viongozi wengine wa Jumuiya
hiyo katika siku ya mwisho ya Kikao chao kilichofanyika
Kampala nchini Uganda

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anatoka katika ukumbi wa
mkutano pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara
baada ya kumalizika kwa vikao vya Wakuu wa nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC vilivyofanyika Kampala
nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Rais wa Uganda Yoweri
Museveni, Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Rais wa Sudan
Kusini Salva Kiir pamoja na viongozi wengine wa Jumuiya
hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi
mbalimbali waliohudhuria mkutano wa EAC katika siku ya
mwisho jijini Kampala nchini Uganda. PICHA NA IKULU

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu