Friday, January 20, 2012

Bi Kurwa Amir miaka 40 akiwa na mtoto wake aliejifungua siku ya jumanne katika Hospitali ya Amana baada ya kupatwa na uchungu akiwa katika geti la shule ya sekondari ya Benjamini mkapa ambaye ni mmoja kati ya wapangaji walioathirika na mafuriko kwa hivi sasa makazi yao makuu ni nje ya geti hilo picha akiwa pembeni mwa frem ya duka kurwa anasema baba wa mtoto yuko kwao musoma alisafiri kabla ya mafuriko mpaka hivi sasa hajapata taarifa yeyote wala kuulizia kurwa hajapenda kutaja jina la baba wa mtoto

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu