Saturday, January 21, 2012

Bi Kurwa Amir miaka 40 akiwa na mtoto wake aliejifungua siku ya jumanne katika Hospitali ya Amana baada ya kupatwa na uchungu akiwa katika geti la shule ya sekondari ya Benjamini mkapa ambaye ni mmoja kati ya wapangaji walioathirika na mafuriko kwa hivi sasa makazi yao makuu ni nje ya geti hilo picha akiwa pembeni mwa frem ya duka


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu