Wednesday, January 25, 2012

Familia zilizo makini hutumia vipaji walivyonavyo pindi makali ya maisha Yyanapowakwaza. Pichani wanandoa Bwana Said Omar akimyoa mtoto mdogo kwa Shilingi mia Tano, wakati huohuo mkewe (kushoto), akimsuka mteja wake kwa malipo ya Shilingi elfu moja kujiongezea kipato kama walivyokutwa na mpiga Picha wetu Barabara ya Mwanza mjini Tabora hivi karibuni

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu