Saturday, January 21, 2012

Kocha mchezo wa ngumi wa Timu ya Ashanti pamoja na Timu ya Mkoa wa Kimichezo Ilala. Rajabu Mhamila'Super D' (kushoto) akitupiana makonde na kocha wa Mkoa wa Pwani, Gaudence Uyaga wakati wa mazoezi kwa vitendo kwa makocha hawo ambao wapo katika kozi ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi Duniani.


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu