Tuesday, January 17, 2012

Mchezaji wa timu ya Taifa na Club ya Vijana -City Bulls Alphaeus David Kisusi akiwa katika uwanja wa ndege akielekea nchini Canada katika chuo kikuu cha Newfound Memorial kwa amasomo kwa muda wa miaka 3 baada ya kupata scholaship aliyoipata katika chuo hicho kutokana na kufanya vizuri katika mafunzo yaliyotolewa hivi karibuni

Makamu wa Rais wa TBF  Phares Magesa (kulia) akimkabidhi Bendera  mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Taifa na Club ya Vijana City Bulls Alphaeus David Kisusi ambaye anakwenda nchini Canada kwa ajili ya masomo katika chuo kikuu New Found Memorial kufuatia Scholaship aliyoipata katika mafunzo yaliyotilewa na chuo hicho (kusshoto)Mwalimu Bahati Mgumba picha akiwa katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu