Tuesday, November 27, 2012

BREKINGNEWZZ MSANII SHARO MILLIONEA! AMFARIKI DUNI BAADA YA KUPATA AJALI


Picha  mbili za marehemu Sharo Millionea kushoto ni baada ya ajali na kulia enzi za uhai wake mungu aiweke peponi roho ya marehemu aaaaaamin! Msanii wa vichekesho na Muziki wa kizazi kipya nchini Hussein Ramadhani Mkiete, almaarufu Sharo Millionea, ambaye alifariki jana usiku majira ya saa mbili anatarajiwa kuzikwa kwao Mkoani Tanga mara baada ya taratibu za mazishi kukamilika. Ajali hiyo mbaya ilitokea eneo la Maguzoni Tanga baada ya gari alilokuwa akiendesha T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza kuacha njia na kupinduka na alifariki dunia hapohapo ambapo pol... more »

R.I.P MSANII MCHEKESHAJI NCHINI SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA MKOANI TANGA AMBAKO NDIO NYUMBANI KWAO.


Msanii mchekeshaji wa hapa nchini picha almaarufu kwa jina la Sharo Milionea amefariki dunia huko Mkoani Tanga. Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani kwao.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu