Wednesday, November 28, 2012

MALORI YAGONGANA ENEO LA KIBAHA...?

Mr abdull at Mr abdull - 11 minutes ago
Gari la mizigo aina ya Nissan lenye namba za usajili T 761 BRN likiwa limegongana uso kwa uso na gari la kubeba mchanga aina ya Fuso lenye namba za usajili T 390 CBM (lililopo kwenye mtaro) katika barabara ya Morogoro karibu na kituo cha Mabasi cha Kibaha Mjini mkoani Pwani leo asubuhi jumatano Nov 28, 2012. Katika ajali hiyo hakuna abiria aliyefariki wala majeruhi.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu