Monday, November 26, 2012

RWANDA YAIFUNGA MALAWI BAO 2-0 LEO

Nahodha wa Rwanda, Haruna Niyonzima (katikati) akidhibitiwa na wachezaji wa Malawi, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge 2012 uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda usiku huu. Rwanda ilishinda 2-0, mabao ya Jean Baptiste Mugiraneza dakika ya 37 na Haruna Niyonzima dakika ya 79
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu