Wednesday, November 28, 2012

Wednesday, November 28, 2012

PICHA KIBAO ZA MAZISHI YA SHAROMILIONEA LEO MCHANA

Twende huku mzee...! Msanii wa vichekesho ambaye ni mshirika wa karibu wa marehemu Sharomilionea, King Majuto (kushoto) akiongozwa na muigizaji JB wakati wa shughuli za mazishi ya Sharomilionea leo mchana kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga.

Jeneza la marehemu Sharomilionea kabla ya kupelekwa makaburini na mwili wa marehemu kuzikwa kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
 
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya sala ya jeneza la marehemu Sharomilionea katika kijiji chao cha Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
 
Mwili wa marehemu Sharomilionea ukiswaliwa kabla ya kuzikwa leo mchana (Novemba 28, 2012) kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga.
Baadhi ya waombol;ezaji waliojitokeza kumzika Sharo Milionea kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Sharomilionea leo Novemba 28, 2012. (Picha: Kwa Hisani ya jiachie.blogspot.com)
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu