Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya simu za mikononi ya Tigo Bulla Bona,
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu ofa ya
msimu wa sikukuu ya hudumuma ya Xtrime Pack itakayowawezesha wateja kupiga
simu kwa gharama nafuu zaidi kwenye nchi 6, UK, USA, Canada, India, Hong
Kong or China, dakika 5 kwaTsh 150.Waandishi wa habari wakiwa kazini
kuchukua picha wakati wa kutangaza ofa hiyo jijini Dar es Salaam leo.Meneja
wa Bidhaa wa Kampuni ya simu za mikononi ya Tigo Bulla Bona, akizungumza
0 comments:
Post a Comment