Katibu
Mkuu wa TFF na Kamati ya Uchaguzi, Angetile Osiah
***
UCHAGUZI
WA VIONGOZI WASHIRIKISHO
LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) NATANZANIA
PREMIER LEAGUE BOARD (TPL BOARD)27101/2013
Kamati ya
Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inawataarifu wadau wa
soka kuwa fursa ya kuweka pingamizi kwa wagornbea uongozi wa TFF na Tanzania
Premier League Board (TPL Board) ilìkwisha jana tarehe 26 Januari 2013 Saa
10.00 jioni. Kamatí ya uchaguzi ilipokea pingamìzi kwa waombaji.
0 comments:
Post a Comment