Wednesday, February 27, 2013

NIONZIMA AIPAISHA YANGA DHIDI YA KAGERA LEO

Mchezaji wa timu ya Haruna Nionzima aifungia bao na timu yake ya Yanga leo kuchukua poit tatu muhim katika mchezo wa ligi kuu kati yanga timu ya kagera picha inawaonyesha wachezaji Mganyizi Martin (Kulia), wa Kagera Sugar, akimtoka mlinzi wa Yanga, Nadir Haroub Canavaro kwenye paqmbano la ligi kuu soka Tanzania bara kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam yanga bao 1-0
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu