Saturday, March 30, 2013

AJALI YA GHOROFA LILILOANGUKA IDADI NI 20 WALIOKUFA

Baadhi ya ndugu mbalimbali waliofika katika hospitali ya Taifa  Muhimbili na kutambua miili ya ndugu zao wengi waliofika chumba cha kuhifadhia maiti na kutambua ndugu hao walioangukiawa na ghorofa ajali iliyotikea jana picha  ndugu wakichukua mwili wa ndugu yao leo0 akwenye hospitali hiyo jumla ya maiti zilipatikana ni 20 mpaka saa nane maiti zilizotambuliwa ni 8  ambao  waasia  ni  3 na wengine ni 5  wafanyakazi wa chumba cha maiti pamoja na ndugu wanaofika wanashindwa kuwatambua ndugu zao kutokana na miili yao kuharibika sana wengine  baadhi ya viungo vimekatika huwezi kuviona wakatoa mifano kichwa mikono  na viungo vingine wafanyakazi hao hawakutaka kutaja majina yao  tutaendelea kuwajulisha 

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu