Saturday, March 30, 2013

MAZISHI YA MBUNGE WA CHAMBANI

 Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa akiweka udongo wa mwisho  kwenye kaburi  aliekuwa mbunge wa chambani salim hemd Khamis aliezikwa chambani mkoani pemba 
 Watu mbalimbali wakibeba jeneza la aliekuwa mbunge wa jimbo la chambani Salim hemed Khamis  m\chambani mkoani pemba
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu