Home
»Unlabelled
» ANITHA ATWAA TAJI LA MISS ELIMU YA JUU MORO 2013
ANITHA ATWAA TAJI LA MISS ELIMU YA JUU MORO 2013
|
Mshindi
wa Shindano la Redd’s Miss Higher Learning Mkoa wa Morogoro, Anitha
Mwakitwange kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe akipunga mkono mara baada ya
kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia jana katika shindano lililofanyika
Mjini Morogoro. Anitha aliwashinda warembo wenzake 10 aliokuwa akiwania
nao taji hilo. |
|
Redd’s
Miss Higher Learning Mkoa wa Morogoro, Anitha Mwakitwange (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Rosemary Aloyce (kulia)
na mshindi wa tatu, Tarchisic Mtui mara baada ya warembo hao kutawazwa
kuwa ndio washindi wa shindano hilo usiku wa kuamkia jana katika
shindano lililofanyika Mjini Morogoro. Anitha ambaye ni mwanafunzi wa
Chuo Kikuu Mzumbe aliwashinda warembo wenzake 10 aliokuwa akiwania nao
taji hilo. |
|
Mshiriki
wa shindano la kumsaka Redd’s Miss Higher Learning mkoa wa Morogoro,
Tarchisic Mtui, akijinadi mbele ya majaji na kivazi cha ubunifu
alichokitengeneza kwa majani ya mti, Muashock wakati wa shindano hilo
lilifanyika usiku wa kuamkia jana na kushirikisha warembo 11 kutoka vyuo
mbalimbali vya elimu ya juu mkoani humo. |
|
Washiriki
wa shindano la Redd’s Miss Higher Learning Mkoa wa Morogoro wakicheza
shoo ya ufunguzi wa shindano hilo lilifanyika usiku wa kuamkia jana na
kushirikisha warembo 11 kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya Juu mkoani
humo |
|
Mshiriki
wa shindano la kumsaka Redd’s Miss Higher Learning mkoa wa Morogoro,
Anitha Mwakitwange, akijinadi mbele ya majaji na kivazi cha ufukweni
wakati wa shindano hilo lilifanyika usiku wa kuamkia jana na
kushirikisha warembo 11 kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya Juu mkoani
humo. |
|
Mshiriki
wa shindano la kumsaka Redd’s Miss Higher Learning mkoa wa Morogoro,
Hellen Mhando akipita jukwaani kujinadi mbele ya majaji na kivazi cha
usiku wakati wa Shindano hilo lilifanyika usiku wa kuamkia jana na
kushirikisha warembo 11 kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya Juu mkoani
humo. |
|
Warembo
waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Higher Learning
Mkoa wa Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja maara baada ya kutwajwa
wakati wa shindano hilo lilifanyika usiku wa kuamkia jana na
kushirikisha warembo 11 kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya Juu mkoani
humo. Kutoka kushoto ni Tarchisic Mtui, Rosmary Aloyce,Hellen Mhando,
Tausi Idd na Asnath Mwakitwange. |
|
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, ‘Bongo Fleva’ Barnaba Boy akitumbuiza
mashabiki wa tasnia ya urembo wakati wa shindano la kumsaka Redd’s Miss
Higher Learning Mkoa wa Morogoro wakati wa wa shindano hilo lilifanyika
usiku wa kuamkia jana na kushirikisha warembo 11 kutoka vyuo mbalimbali
vya elimu ya Juu mkoani humo. |
0 comments:
Post a Comment