wafanyakazi wanaotengeneza standi kuu ya mabasi ya mikoani akiendelea na ujenzi leo
Hii nio Standi mpya ya mabasi yaendayo mikoanoi mjini dodoma ambayo inajengwa upya hukuwafanyakazi wakionekana wakiwa na viloba vya takataka leo
Mbunge wa jimbo la vunjo Agustini Liatonga akiteremka kwenye gari huku waziri ofisi ya rais mazingira DR Terezya Huvisi akimsubiri ili wap[te kuelekea ndani ya ukumbi wa bunge leo
Baadhi ya wabunge mbalimbali wakiwa nje ya ukumbi wa bunge mjini dodoima leo
Baadhi ya wabunge wakingia ndani aya ukumbi wa mjini dodoma leo
0 comments:
Post a Comment