Thursday, May 30, 2013



Waziri mkuu mstafu ambaye pia ni mbunge wa Munduli Edward Lowasa kulia akipokea vifaa vya Taa za sola kutoka kwa mkurugenzi wa kanda wa Hoteli ya Double Tree Judd Lehmann kushoto mkurugenzi wa mauzo wa hoteli ya Double Tree Florenso Kirambata makabidhiano hayo yalifanyika leo mikocheni jijini Dar es salaam vya hivyo ni kwajili ya shule za msingi zilizopo katika Wilaya ya Munduli taa hizo zinazotumia nguvu ya jua yaani sola
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu