Tuesday, May 21, 2013

BREKING NEWZZZ MWANAMUZI PROFESA JAY AJIUNGA RASMI NA CHADEMA LEO

 Wanachama wapya wa Chadema, Joseph Haule maarufu Professa Jay (katikati)  na mwenzake Levison Kasulwa maarufu Kwa Mapacha, wakifurahia mara baada ya kupokea kadi zao za wanachama ikiwa ni kujiunga na Chama hicho mjini Dodoma huku wakionyesha alama yan chama hicho . Hafla hiyo iliyofanyika mjini Dodoma jana ilihudhuriwa na wabunge kadha wa CHADEMA.Kushoto ni Mbunge wa Mbeya  Mjini JosephMbiliny leo
CHADEMA_KADI

Mwanamuziki mkongwe katika miziki ya kufokafoka yaani HIP HOP Joseph Haule maarufu Profesa JAY amejiunga na chama cha Demokrasia na maendeleo  CHADEMA,  (katikati) HUKU akionyesha kadi yake  ya wanachama wa CHADEMA marabaada ya kukabidhiwa kadi hiyo ikiwa ni ishara ya kujiunga na chama cha CHADEMA.Hafla hiyo iliyofanyika mjini Dodoma  leo ilihudhuriwa na wabunge kadha wa CHADEMA.Kulia ni Mbunge wa Ubungo, John Mnyika na kushoto ni Mbunge wa Mbeya  Mjini Joseph Mbilinyi maarufu sugu
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu