Saturday, May 4, 2013

JESHI LA POLISI WAVISHWA NISHANI LEO

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam.leo


 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha cha Polisi Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ali Lugendo wakirudi jukwaa kuu baada ya IGP kukagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam.leo.


 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, Afisa Mnadhimu idara ya Upelelezi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Brown Lekey kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. leo




Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, Mkuu wa Kitengo cha maadili, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Patrick Byatao kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na  Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu