Friday, May 31, 2013



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua tofali kwenye ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wangong;'ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.leo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu