Wednesday, May 29, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA AMANI DUNIANI LEO

 Askari wa Jeshi la wananchi wakiwa katika viwanja vya mnazimmoja wakiwa kati gwaride la kuadhimisha siku ya Amani Duniani iliyoadhimishwa leo



Baadhi ya mabalozi na wanajeshi na wafanyakazi wa UN hapa nchini wakiwa katika maadhimisho ya siku hiyo 


Wanajeshi pamoja na Mabalozimbalimbali waliofika katika siku ya maadhimisho ya siku ya Amani iliyoadhimishwa kwenye viwanja vya mnazimmoja leo

 Mwakilishi mratibu mkaazi wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Richard Ragan akisoma taarifa ya umoja wa mataifa wakati wa maadhimisho ya siku ya amani iliyofanyika leo



Mwanafunzi wa chuo cha kodi Zainabu Abdallah pia yuko katika shirika la habari la UN akistoa hotuba yake wakati wa maadhimisho hayo leo 


Waziri wa Mambo ya Ndani Dr Emmanuel Nchimbi akisalimiana na wanajeshi waliokwenda nchi za Dafuu , Ivory coast .Sudani ,DRC Congo wakati wa maadhimisho ya siku ya Amani dunianileo 

Mwakilishi wa mratibu mkaazi wa UN Richard Raga akisalimiana na wanajeshi walikuwa katika nchi mbalimbali kulinada amani wakati wa maadhimsho ya siku ya amani duniani


Waziri wa wa Mambo ya ndani Dr Emmanuel Nchimbi akisalimiana kikosi cha askari wa kuzuia ghasia waliokwenda katika nchi mbalimbali kulinda amani katika maadhimisho ya siku ya Amani duniani leo



Waziri wa mambo ya ndani akikagua kikosi cha polisi wa kike waliokuwa dafuu na kadhalika kulinda amani wakati maadhimisho yaliyofanyika leo 


Mwakilishi Mratibu mkaazi kutoka UN hapa nchini akisalimiana na polisi wa kike waliokuwa  katika kulinda amani katika mbalimbali
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu