Friday, May 31, 2013

matukioa

 Naibu katibu mkuu  wa Baraza la Mitihani Charles Msonde akiongea na wandishi wa habari kuhusu Matokeo ya mitihani ya kidato cha Sita leo


Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema akisoma kabrasha la mahakama ya rufaa kanda ya dodoma kwa madai ya chama cha mapinduzi ccm wanapanga njama za kumvua madaraka mbunge huyo wa Chadema Tundu Lissu wakati akiongea na wandishi wa habari  chama hicho kimalaani vikali njama za ccm kufufua kesi ya uchaguzi dhidi ya mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani rasmi ya upinzani bungeni na mbunge wa Singida Mashariki Tundu lissu 




Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali jijini Dar es salaam wakiwa katika maandamano ya siku ya tumbaku duniani siku hiyo huadhimishwa kila siku ya tarehe 31 mwezi wa mei  madhimisho hayo yalifanyika akatika ukumbi wa nkuruma chuo kikuu cha mlimani leo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu