Sunday, June 30, 2013

 Waziri Mkuu wa Malasya Mheshimiwa Najib Razak akiwa pamoja na Mama Salma Kikwete na Inkhosikati Lambizana wakimwangalia simba dume aliyewekwa nje ya ukumbi wa  jengo la mikutano la Mwalimu Nyerere baada ya viongozi hao kuhudhuria chakula cha usiku
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaagana na Mfalme Mswati wa Swaziland mara baada ya chakula cha usiku.

Rais Jakaya Kikwete akiiagana na Waziri Mkuu wa Malasya Mheshimiwa Najib Razak mara baada ya viongozi hao kupata chakula cha usiku kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere .

PICHA NA JOHN  LUKUWI

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu