Wednesday, July 10, 2013

013

ZIARA YA NYOTA WA MAN UNITED AZAM COMPLEX LEO

IMEWEKWA JULAI 10, 2013 SAA 3:50 USIKU
Kiungo wa zamani wa kimataifa wa Afrika Kusini na klabu ya Manchester United ya England, Quinton Fortune akitoka makao makuu ya klabu ya Azam FC, Azam Complex, Chamazi leo baada ya kumaliza ziara yake maalum. PICHA ZOTE NA JAFFAR IDDI.

Akizungumza na kocha Stewart Hall

Akiwa na Kipre Balou

Akiwa na Katibu, Nassor Idrisa

Akipewa zawadi...Nyuma ni Meneja, Jemadari Said  

Kulia kwake Samih Hajji Nuhu na kushoto kwake Himid Mao Mkami

Akiwa na wachezaji wote wa Azam FC


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu