Wednesday, July 31, 2013

NEYMAR, MESSI WAANZA KAZI PAMOJA BARCA...PACHA JIPYA LA HATARI LA USHAMBULIAJI DUINA NZIMA

MCHEZAJI  mpya wa Barcelona, Neymar ameanza mazoezi na timu yake hiyo mpya baada ya kukamilisha vipimo vya afya.
Wachezaji wote wa Barcelona waliokuwa kwenye Kombe la Mabara walitipoti jana baada ya mapumziko na Neymar alikuwa miongoni mwao pamoja na Xavi, Andres Iniesta, Cesc Fabregas na Lionel Messi.
Ilikuwa mara ya kwanza kukutana na wachezaji wenzake wapya, baada ya kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili ghali katika historia ya klabu baada ya Zlatan Ibrahimovic mwaka 2009 kusajiliwa kwa Pauni Milioni 56.
 VIDEO  Mazoezi ya Barcelona na wachezaji kupimwa afya jana
Not bad: Lionel Messi (left) and Neymar (right) trained together for the first time
Si mbaya: Lionel Messi (kushoto) na Neymar (kulia) wakifanya mazoezi pamoja kwa mara ya kwanza
One of the lads: Neymar (left) was put through his paces with his new team-mates in Barcelona
Neymar (kushoto) akiwa na wachezaji wenzake wapya wa Barcelona
Cesc Fabregas
Neymar
Neymar na mchezaji anayetakiwa na Manchester United, Cesc Fabregas (kushoto) wote walikuwa kivutio mazoezini 
At home: Neymar with Brazilian team-mate Daniel Alves during Barcelona training
Nyumbani: Neymar na mchezaji mwenzake wa Brazil, Daniel Alves katika mazoezi ya Barcelona
Welcome: Goalkeeper Victor Valdes meeting new manager Gerardo Martino
Karibu: Kipa Victor Valdes akisalimiana na kocha mpya, Gerardo Martino
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu