2


SI LA KULIKOSA

Tuesday, July 2, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA SABASABA LEO

baadhi ya watumbalimbali waliofika katika banda la jeshi la wananchi Tanzania jwtz wakiangalia pikipiki ya miaka mingi iliyokuwa inatumika na askari jeshi

mkurugenzi wa mary karegaakiwaelekeza watumbalimbali kuhusu soseji za samaki wa sangara wa ziwa victoria soseji zinatengenezwa na samaki licha ambazo watu wengi wamezoeza za nyama watu waliofika kwenye banda la sido kwenye viwanja vya kilwa leo


wafanyakazi wa jumba la mikutano inayojulikama kama Arusha International Conference Centre wakiw kazini kwenye maonyesho ya sabasaba 

Linda Nyanda mkuu wa masoko na utafiti akiwaeleza baadhi ya wananchi waliofika kwenye banda la Arusha International Conference Centre

Linda Nyanda mkuu wa masoko na utafiti akiwaeleza baadhi ya wananchi waliofika kwenye banda la Arusha International Conference Centre
wafanyakazi wa banki ya crdb wakihudumia wateja waliofika kwenye banda lao viwanja vya biashara vya mwalimu Nyerere leowanafunzi wa shule za msingi wakimsikiliza mfanyakazi wa banki ya fnbkuhusu akaunti wa watoto leo

baadhi ya wakazi wakiwa na bidhaa walizonunua

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu