Monday, September 23, 2013

MAGAIDI WAWILI WAMEUAWA KATIKA MAPAMBANO NA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA KENYA TUKIO HILO WATU 69 NA ZAIDI YA WATU

179 WAMEJERUHIWABADO MAPAMBANO YAKIENDELEA

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya huku akiwa ameambatana na Mkuu wa Majeshi ya Kenya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi, David Kimayu Olerenku katika mkutano wao na waandishi wa habari wamesema kuwa magaidi wawili wameua katika mashambulizi na vikosi vya Majeshi ya  Ulinzia na Usalama pamoja na kudhibiti ghorofa zote katika jengo la Westgate.

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu