Saturday, September 14, 2013

PADRI ANZIBAR ALIEMWAGIWA TINDIKALI Z

ibar

Picha za tukio la kumwagiwa Tindi kali, Padri Anselmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae Jimbo la Zanzibar akiwa katika hospitali ya mnazimmoja mjini zanzibar mara baada ya kumwagiwa inayodhaniwa tindi kali wakati akitoka kwenye internate caffe wakati akiongea na simu eneo la mlandege mjini Zanzibar majira ya saa 10 jioni. padri huyo amepelekwa jiji dar salaam kwa matibabu zaidi



Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu