Home
»Unlabelled
» RAIS KIKWETE kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph
RAIS KIKWETE kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph
|
: Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu Guelph pamoja na na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Berna |
|
: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Wakuu wa Chuo Kikuu Guelph pamoja na
na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa
Shahada ya
Uzamivu ya Chuo Kikuu cha
Guelph jimboni Ontario Ijumaa
|
|
1.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel
Nchimbi (kushoto) akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba wa Kanisa la
Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya Muhimbili
jijini Dar es Salaam kumpa pole, baada ya kumwagiwa tindikali na watu
wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar wiki iliyopita. Dk Nchimbi alimtoa
hofu Padri huyo akimuahakikishia kuwa waliofanya tukio hilo watakamatwa, na serikali itapambana kikamilifu
na mtu au kikundi chochote kitakachojihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia
kemikali ya tindikali. Picha na Felix
Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
1.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel
Nchimbi (kushoto) akimsikiliza Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, akitoa
maelezo jinsi alivyopata mkasa wa kutiwa Tindikali na watu wasiojulikana, Mjini
Unguja, Zanzibar
alipofika katika Hospitali ya Muhimbili kumpa pole, ambapo amelazwa na
kuapatiwa matibabu. Dk Nchimbi alimtoa hofu Padri huyo akimuahakikishia kuwa
waliofanya tukio hilo
watakamatwa, na serikali itapambana kikamilifu na mtu au kikundi chochote
kitakachojihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia kemikali ya tindikali. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
|
|
0 comments:
Post a Comment