Monday, September 16, 2013

ZOEZI LA RAIA WA MALAWI WAKIJIANDIKISHA KATIKA ZOEZI LA KUWATAMBUA WAHAMIAJI HARAMU LEO



Raia wa Malawi wakijiandikisha katika Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Dar es Salaam leo kuhusu zoezi linaloendelea la kuwatambua wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.


wakiwa katika foleni ya kujiandisha leo kwenye ofisi za uhamiaji jijini Dar es salaam 
zoezi la utambuaji ya wahamiaji  haramu wakiwa katika ofisi ya uhamiaji leo jijini Dar es salaam
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu