Wednesday, October 30, 2013

Majaji kutoa uamuzi wa hukumu ya kesi ya Babu Seya na mwanae itakavyopangwa

Askari wa magereza wakimueka katika ilinzi mkali papii kocha mtoto wa vicking nguza wakati wakitolewa katika mahaka ya fufaa

Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na mwanawe Johnson  Nguza au Papii wakitolewa  katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania jijini Dar es Salaam leo, baada ya  kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo. Nguza na Papii walihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na ulawiti. 

Babu seya  nguza vicking akiwa na mwanae Johnson Nguzo wakitoka kwenye mahakama ya rufaawakirudishwa tena gerezani kusubiri kesi yao itakapo somwa tena










awakingia katika mahakama kuu kusubiri kurudishwa gerezani

picha zote na mzuka wa fungo blog

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu