Friday, October 25, 2013

MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete wakati akifunga  mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, usiku wa kuamkia leo Oktoba 25, 2013 katika ukumbi wa mikutano wa CCM wa ‘White House’ mjini Dodoma. Mafunzo hayo yaliyokuwa ya siku nne yalifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kulia kwake  ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana. PICHA NA IKULU
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu