Thursday, November 14, 2013

MWILI WA MAREHEM DR MVUNGI KUWASILI KESHO JIONI SAA

Mwili wa marehem Dr sengondo mvungi utawasili kesho majira ya saa kumi na mbili na dakika hamsini na tano jioni   kwa mujibu wa familia ya marehemu iliyotolewa leo mara baada ya kuwasili utapelekwa katika hospitali ya lugalo na siku ya jumamosi kutakuwa na misa maalum itakayo fanyika katika kanisa la st joseph asbuhi na kuagwa kwa wakazi wa jiji la dar es salaam katika eneo la karimjee siku hiyo ya jumamosi na baadae mwikli huo utapelekwa nyumbani na kulala hapo jumapili utasafishwa kuelekea Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro na kuzikwa katika kijiji cha kisangara juu mungu ailaze roho yake pahala pema blog ya mzuka inawapa pole wote na kuwa na subra tutawajuza zaidi picha ni mke wa marehem Dr sengondo mvungi  Anna akiwa na familia yake
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu