Sunday, November 10, 2013

TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE CHINI YA MIAKA 20 IMEREJEA LEO KWA USHINDI MNONO JUMLA YA MABAO 15-1


WACHEZAJI wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite,
wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es
Salaam, leo wakitokea nchini  Msumbiji ambako juzi waliichabanga timu hiyo kwa mabao 5-1  katika mchezo wa marudiano wa raundi ya pili ya michuano ya
Kombe la kuwani tiketi ya kufuzu kucheza  kombe la Dunia kwa umri huo katika mchezo wa kwanza uliochezwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam timu ya taifa ya Tanzani ilishinda kwa bao 10 kwa yai jumla ya magoli 15 -1 imeifunga timu hiyo kwa hiyo tike tosha ya kusonga mbele  kuelekea bondeni kwa madiba



Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu