*SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA ZAFANA UWANJA WA UHURU DAR
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasabahi wananchi waliofurika kwenye
Uwanja wa Uhuru leo, alipokuwa akiwasili uwanjani hapo kwa ajili ya
kujumuika na wananchi kusherehekea miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Rais Kikwete, akikagua Gwaride......
Rais Kikwete akikagua Gwaride.......
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, wakati
alipowasili uwanjani hapo.
Baadhi ya Maofisa wa Vyombo vya Usalama waliohudhuria sherehe hizo....
Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria sherehe hizo.....
Baadhi ya watoto wa Halaiki,........
Rais Kikwete alipokuwa akiwasili uwanjani hapo......
Rais Kikwete akiwaongoza Viongozi na wananchi kusimama kuimba Wimbo wa Taifa......
Vijana wa Halaiki wakionyesha umahiri wao wa kucheza sarakasi....
Kikosi cha Gwaride kikijiandaa kupita mbele ya Jukwaa Kuu baada ya kukaguliwa.....
Vikosi vya Gwaride vikijiandaa.....
Mwenyekiti
wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambaye naye pia leo anasherehekea maana
halisi ya jina lake kutokana na kuzaliwa mwaka uliopatikana Uhuru wa
Tanzania, mwaka 1961. na ndiyo maana akaitwa Freeman.
Kikosi cha FFU kikipita mbele ya Jukwaa kuu na kutoa heshima kwa Rais.....
BABA
YUPO KAZINI, huyu ni mpigapicha wa ITV, Idrisa Magomeni, akitafuta
shoti itakayomfurahisha bosi wake na watazamaji wake pia.....
Sarakasi.......
Rais
Kikwete akitoa salamu za maadhimisho sambamba na salamu za rambirambi
kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandera
0 comments:
Post a Comment