Wednesday, January 22, 2014

BREKING NEWZZZZ MAFURIKO MAKUBWA YAUKUMBA DUMILA MOROGORO


PICHA MAKTABA

MAFURIKO MAKUBWA YAMEIKUMBA MKOA WA MOROGORO LEO KUTOKANA MVUA KUBWA ILIYONYESHA USIKU WA KUAMKIA LEO KUTOKANA NA MVUA HIYO KUBWA AIJAWAHI KUTOKEA ENEO KUBWA YA MAFURIKO HAYO NI ENEO LA DUMILA  WAKAZI WA MAENEO HAYO WAKO JUU YA VIPAA VYA NYUMBA PAMOJA NA WENGINE WAKO JUU YA MITI KUEPUKA KUSOMBWA NA MAJI KUTOKA NA UKUBWA MAFURIKO HAYO DARAJA LA LILIOPO EENEO LA DUMILA LIMEBOMOKA KABISA AMBALO NDIUO KIUNGO KIKUBWA MAGARI YATOKAYO DODOMA ,SINGIDA ,MWANZA KUJA DAR ES SALAAM NA YALE YATOKAYO DAR ES SALAAM KUELEA MIKOANI YOTE YAMEKWAMA HAKUNA USAFIRI WOWOTE WA KUPITA KATIKA ENEO HILO LA BARABARA ABIRIA WAMEKWAMA KOTEKOTE  HATA  BAISKELI IMESHINDWA KUPITA KUTOKANA HALI MBAYA YA DARAJA HILO KWA MUJIBU WA WAZIRI NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU SERA NA URATIBU WA BUNGE WILLIAM LUKUVI AMESEMA SERIKALI IMEFUNGA BARABARA YA DODOMA /MOROGORO KUTOKANA DARAJA KUHARIBIKA LA DUMILA WAKATI AKIHOJIWA NA RADIO ONE JIONI HUKU MAFUNDI WAKO KATIKA ENEO KUJARIBU KUUTAFUTA UFUMBUZI WA KUTNGENEZA SHULE YA MAGOLE YAFUNIKWA  MASHAMBA YAFUNIKWA MAGARI HAENDI WATU HAWAJUI LA KUFANYA DUMILA IKO KATIKA WILAYA YA MVOMERO
ENDELE KUSOMA MZUKA WA FUNGO TUTAWAJUZA BAAADAE
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu