SUPER D AMPONGEZA BONDIA MUSSA MCHOMANGA NA KUMZAWADIA
Kocha Mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli kushoto akimwinua mkono juu bondia Mussa Mchopanga baada ya kumvalisha medali ya Dhaabu baada ya kuibuka mshindi wa mkoa wa Dar es salaam |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi cheti kwa bondia Mohamed Chibumbuli mara baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi cheti kwa bondia Mohamed Chibumbuli mara baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimvisha medali ya dhaabu bondia Mohamed Chibumbuli mara baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimvisha medali ya Fedha bondia Abdul Rashidi mara baada ya kuibuka mshindi wa pili wa mashindano ya mkoa wa Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
0 comments:
Post a Comment